Psalms 89:15

15 aHeri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe,
wanaotembea katika mwanga
wa uwepo wako, Ee Bwana.
Copyright information for SwhNEN